David Minja, TBL Marketing Director, official unveils the new look for KILI TAIFA CUP 2010...looking on is Kilimanjaro Premium Lager Brand Manager, George Kavishe..
David Minja, shaking hands with TFF Frederick Mwakalebela at the launch of KILI TAIFA CUP 2010
Mwakalebela to George Kavishe....HAYA SASA, WAZEE KAZI IMEANZA...na mwaka huu UNDER 20 wapo ndani ya nyumba, mshindwe wenyewe...
George Kavishe- tukishindwa sisi ataweza nani? wazee wa kilele sisi bwana...hehehehe
26 regions...6 centres....tuwe wazalendo jamani...Iringa mpoooooooooo? Mwanza jee?
Ilala mnachukua kombe na mwaka huu? chapa ilaleeeeeeeeeeeeeeeeee!
tukifika robo fainali naomba tuanze kuongea kwa hela...Kilimanjaro lazima tutatisha....
Je, Wewe mkoa wako wa nyumbani vipi? mmejinoa kisawasawa?
LETS GET READY TO RUMBLEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!
No comments:
Post a Comment