Where everything, and anything around YOU and me can be talked about...calling on all my fellow Africans...And if you don't like it, then put something you do like ...
Friday, April 30, 2010
WAKWETUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU!!!!1
Aiseee..ndo kikosi chetu sie....chezeaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa sisi....
Mkoa wa Arusha umetangaza kikosi chake cha Mount Meru Worrious kitakachoshiriki kombe la Taifa “Kili Taifa Cup 2010”.
Wachezaji walitangazwa na timu zao katika mabano.
Walinda Mlango.
Aldina Hashimu (AFC),Abdul Maulid (United boys) na Badi Abdul (Bishop Durning).
Mabeki wa kulia.
Salum Ngaga na Andrew Carlos (AFC), Nassor Zuber (JKT Oljoro), Makungu Slim (Bishop Durning), Sheshe Mka (Mbuni) na Ally Nassor (United Boys).
Mabeki wa kushoto na kati.
Razak Muhidin na Said Malima(AFC), Mgona Kifaru (Flamingo) na Godfrey Kimathi (Boshop Durning). Walinzi wa nyuma ni Machogori Yusuph (JKT), Bakari Mkuu (Mbuni), Nurdin Mchomvu (JKT) na Msumi
Ally (AFC).
Wachezaji wa kati .
Sanga Ngomelo (Flamingo) Mahsen Salimu (Moro United), Habibu Mhina (Azam FC), Essau Mwaseba, Jimmy Shoji, Hilal Bingwa na Mussa Babu wote wa AFC , Jackson Mkema (JKT Oljoro), Kervin Friday(Flamingo) na Zakayo Joseph (Boshop Durning).
Washambuliaji .
Bakari Kigodeko (AFC), Shabuka Mohamed (JKT Oljoro), Mohamed Shabani, Kado Hassan (Bishop Durning), Francis Dafa (Toto Afrika), Abdallah Juma (Kagera Sugar), Jacob Tata (Flamingo) na David Mwantobe (Mtibwa Sugar).
Mount Meru Worrious ipo kundi moja na jirani zao Manyara, Kilimanjaro na Mara.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment